Peter DM Bwimbo : Mlinzi Mkuu Wa Mwalimu Nyerere.
Material type:
- text
- computer
- online resource
- 9789987753505
- 353.032
- KF31 .B856 2015
Cover -- Title page -- Copyright page -- Yaliyomo -- Shukurani -- Utangulizi -- Maisha Yangu -- Kuzaliwa na maisha ya kijijini enzi za ukoloni -- Baba anifundisha kusoma na kuandika -- Mwanafunzi awa kichocheo kwangu kwenda shule -- Kusomea ualimu -- Mabadiliko ya kuanza mafunzo ya ualimu -- Kujiunga na Jeshi la Polisi -- Muundo wa Jeshi la Polisi enzi zile -- Kuhamishwa -- Mafunzo Chuo cha Polisi Moshi -- Ulinzi wa Viongozi wa Nchi -- Kwa nini viongozi hulindwa? -- Doria wa chama cha TANU kabla ya uhuru -- Kuandaliwa kwa ulinzi wa Rais kabla ya uhuru -- Sikujua nasailiwa kama mlinzi mtarajiwa wa Rais -- Kwenda kusoma Uingereza -- Kurudi kutoka Uingereza -- Napelekwa Government House (Ikulu) -- Kuanzishwa kwa utaratibu wa kulinda viongozi -- Siku ya uhuru -- Kumlinda Mwalimu Nyerere na Kumuelewa Zaidi -- Kwenda ibada kanisani -- Kufahamu mila na desturi za kabila lake -- Mzimu wa muhunda -- Hakupenda kujitweza wala kukubali heshima asiyostahili -- Hakuwa na upendeleo -- Aliheshimu wazazi wake na wazee -- Michezo -- Aliacha ghafla kuvuta sigara na kunywa bia -- Utani -- Kujiuzulu kazi ya ualimu -- Kujiuzulu kama mjumbe wa baraza la kutunga sheria -- Kujiuzulu wadhifa wa Waziri Mkuu -- Mwisho wa kushangilia makosa ya wakubwa -- Mabadiliko Baada ya Uhuru -- Uhuru kuunganisha maadui -- Mbinu za kuning'oa za kwama -- Hatua za kutoa ubinafsi, fitina katika chama na serikali -- Baba wa Taifa alipunguza mshahara wake -- Kutotaka vitu vya anasa -- Kupanda gari la zima moto -- Uadilifu wa kiwango cha juu -- Kutopenda uonevu au mtu kunyimwa haki yake -- Hakutaka ulinzi mkubwa -- Kijijini kwao Butiama -- Alikataa familia yake kulindwa rasmi -- Kamishna wa Polisi mwananchi wa kwanza -- Mkurugenzi wa kwanza mwananchi idara ya usalama ya taifa -- Kuhudhuria tena masomo nchi za nje -- Kifo cha Rais John F. Kennedy -- Kujipanga upya kwa mapambano ya kazi.
Changamoto ya Kwanza -- Maasi ya askari wa Tanganyika Rifles Januari, 1964 Operesheni Magogoni -- Kufikiri haraka na kutoa maamuzi sahihi -- Kutojulikana kwa mipango ya maasi -- Kuepusha madhara kwa viongozi wakuu -- Matatizo ya kuhamisha (Evacuation) -- Tatizo la mawasiliano -- Mwalimu arudi Ikulu -- Mwalimu atembelea sehemu mbalimbali za jiji -- Askari waasi wanyang'anywa silaha -- Yalikuwa maasi au mipango ya mapinduzi iliyoshindwa? -- Matukio Mengine Mbalimbali -- Umeme wazimika Mwanza wakati wa ugeni wa Rais Nasser -- Hewa chafu katika gari karibu ihatarishe maisha ya Kawawa na Waziri Mkuu mwenzake wa Misri -- Tukio la Uingereza -- Ndege yaharibikia angani, Jamhuri ya watu wa Kongo -- Safari kwa miguu toka Butiama hadi Mwanza kuunga mkono Azimio la Arusha -- Giriki aliyesema Serikali iko mikononi mwake -- Mwalimu akataa kuonana na Idd Amin -- Tukio la Ndola, Zambia -- Tukio la Mogadishu, Somalia -- Mipango ya itifaki nchi za nje -- Idi Amin aangusha mabomu Mwanza -- Mipango ya kutaka kupindua serikali -- Mauaji ya Rais wa serikali ya Mapinduzi Zanzibar -- Cheo - Matokeo ya Kazi Nzuri -- Napewa kazi katika Shirika la Reli -- Kutunukiwa nishani -- Hofu ya wazazi na familia yangu -- Matatizo kuhusu nyumba -- Kutunukiwa Nishani -- Nishani ya ushupavu (Gallantry Medal) na tuzo nyingine -- Back cover.
Description based on publisher supplied metadata and other sources.
Electronic reproduction. Ann Arbor, Michigan : ProQuest Ebook Central, 2024. Available via World Wide Web. Access may be limited to ProQuest Ebook Central affiliated libraries.
There are no comments on this title.